Tuesday, 22 May 2007

mitindo simple ya nywele
wadada wenzangu mmeshawahi kujaribu mtindo huu wa nywele kwa kweli ni mzuri sana jaribu sikumoja utaupenda ila hakikisha una nywele ndefu au kama una fupi basi weka weaving na mambo yatakubali for changes sio kila siku nywele za mawimbi au yebo yebo na bambucha


Na kwa wale wenye nywele fupi basi unaweza ku-apply halle bella style kwakweli ni simple na ni nzuri

Monday, 12 March 2007

Karibu/Welcome!

Welcome to my blog, blogu hii inahusu mambo ya mavazi, vyakula na Life style kwa ujumla wake! Karibuni tuendelee kublogu pamoja na kuelimishana! Asanteni